vifaa vya kuuzia chips vinauzwa

vifaa vya kuuzia chips vinauzwa

Yanabadilika

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
34
Reaction score
15
habari wanajamvi jiko la kupikia chips la gas bei 250000/=, jiko la kuchomea nyama 80,000/= na kabati kubwa la futi 4 170,000/=,vipo yombo buza mawasiliano 0656730433
ff9d831c7ac2a4fc746ecb8bcb748f03.jpg
 
vipo yombo- buza bei kila kimoja kina maelewano na hata frem imebaki kodi ya miez mi5
 
habari wanajamvi jiko la kupikia chips la gas bei 250000/=, jiko la kuchomea nyama 80,000/= na kabati kubwa la futi 4 170,000/=,vipo yombo buza mawasiliano 0656730433
ff9d831c7ac2a4fc746ecb8bcb748f03.jpg
USHAURI NDUGU ZANGU HUMU, ALIETOA TANGAZO HILI NI TAPELI, LEO NIMESAFIRI MPAKA ALIPOSEMA VIFAA ANAVYOUZA VIPO MATOKEO YAKE HAKUPOKEA SIMU KWA SAA ZIMA NA BAADAE AKAZIMA NA SIMU KABISA. NAOMBA MUWE MAKINI ASIJE AKAWAPOTEZEA MUDA.NACHELEA KUSEMA NI TAPELI.
 
Ha ha ha mwanzo wa maelezo yako tu ulishamuita ni tapeli

USHAURI NDUGU ZANGU HUMU, ALIETOA TANGAZO HILI NI TAPELI, LEO NIMESAFIRI MPAKA ALIPOSEMA VIFAA ANAVYOUZA VIPO MATOKEO YAKE HAKUPOKEA SIMU KWA SAA ZIMA NA BAADAE AKAZIMA NA SIMU KABISA. NAOMBA MUWE MAKINI ASIJE AKAWAPOTEZEA MUDA.NACHELEA KUSEMA NI TAPELI.
 
KANICHEFUA SANA, TUMEWASILIANA NJIA NZIMA SHIDA IKAANZA NILIPOSEMA TU NIMEFIKA ALIPONITAKA NISHUKIE!
Pole sana Mkuu

Nimeona post ni ya 2018 ni takribani mwaka na miezi minne alikuwa hajaviuza tu au alikuwa kauza akataka kukuingiza kingi ila kwa wewe kufika eneo la tukio ukawa ushamharibia mipango
 
Yeah siku hizi dawa ni kufika eneo la tukio ndo utamuweza tapeli.... Kuna kipindi nilikuwa mbeya nikaona mtu anatangaza biashara fulani kwa bei ya mil 1 wakati kiuhalisia ingekuwa kama mil 3.5 na alidai yupo njombe mjini nilipomuuliza akasema ni ofa na coz biashara imemshinda...... nikakubaliana naye tuonane akasema sawa...nikasafiri kutoka mbeya mpk njombe kwenda kushuhudia mzigo nimpe hela yake niondoke na vifaa.....nilipofika nikamtafuta siku nzima akawa hapokei baadae akazima simu kabisa....nikawa nimeokoa pesa yangu dhidi ya tapeli.
 
Kama kuna mtu anahitaji vifaa kama hivyo ninavyo Madale kasoro jiko la gesi tu. Nina majiko ya mkaa makubwa matatu, jiko kubwa la kuchomea nyama, Mashine ya juisi (Juice Dispenser) Masahani, Vikombe, Kabati, Sufuria kubwa kabisa, Vijiko, uma n.k
Nilikuwa na mgahawa chuo cha St.Joseph biashara ikaenda segemnege!
Mawasiliano 0687634408
 
Weka picha na bei

Similar Discussions

Back
Top Bottom