hivyo vitu nilivotaja ndio msingi mkubwa wa neno recording studio.vitu vingine ni nyongeza tu. studio nyingi hata kwangu ninatumia vitu hvyo. hapo nimeorodhesha vi2 ambavyo mimi nauza.sio vitu vyote vinavyotakiwa ktk studio.
vitu kama jitaa kwa mwanzo(kama kuna umuhimu wa kutumia)utalikodi mtaani.
instruments zingne utatumia plugins na sample ambazo zipo ktk kompyuta.
kwangu mil 2 inatosha sana.japo kuna studio mpaka mil 50