LUTAMBI jonnie_vincy inategemeana na aina ya laptop kama hii ni dell latitude e6430 core i5 ambayo ni very powerful so bei yake dukani ni kama mara mbili ya iyo bei ya vifaa
Hahahaaa, wewe ulinunua bei gani mpya dukani, na mwaka gani?
Ngoja nikusaidie kupanga bei kulingana na bei za vifaa hivyo madukani kwa sasa:
Display screen-70,000
Keyboard-40,000 (mpya)
Adoptor-30,000 (mpya)
Battery-70,000 (mpya)
processor (core i5 @ 2.4 gh) 60,000/= (used)
mouse (touchpad) 30,000 (used)
body-maelewano (hakuna mpya)
Ram (4 gb) 40,000 (mpya)
speaker 15,000/= (used)
fan 15,000/= (mpya)
cdrom 40,000 (used)
Hiyo computer yako ina tatizo gani?
Aina ni Dell latitude E6430
vitu vinavyouzwa
screen 100,000
keyboard 70,000
adapter 70,000
battery 70,000
processor (core i5 @ 2.4 gh) 150,000/=
mouse (touchpad) 50,000
body 50,000
Ram (4 gb) 70,000
speaker 30,000/=
fan 30,000/=
cdrom 50,000
motherboard ndio imeungua ndo maana nauza kifaa kimoja kimoja