tunauza vifaa aina zote vya butcher
mashine za kukata nyama 1,000,000/=
mashine za kasaga nyama 600,000/=
mashine za ku slace nyama 300,000/=
misumeno ya mashine 25,000/=
na accessories za butcher
tupo dar es salaam 0654567777
kwakweli nimepost tangazo pamoja na picha lakini picture sizioni. nikajua hazijaingia. niameazima simu nyengine kuangalia sijaziona naomba nuongozo wako mkuuHiyo picha Namba mbili mbele, mbona misumeno kama vile ililkuwa inakata Mbao?
kwakweli nimepost tangazo pamoja na picha lakini picture sizioni. nikajua hazijaingia. niameazima simu nyengine kuangalia sijaziona naomba nuongozo wako mkuu
View attachment 975944 qoute uzi wako uingie hapo itakupeleka kwenye gallery
Chagua picha na uzipandishe
kuweka picture najua sanaaa ila nashangaa picture hazijaingia sizioni lkn watu wananiuliza kuhusu picture ya pili ina hivi na yakwanza ina hivi wakati mimi sizioni hizo picture