Hapo hajazungumza kama Mc-Onder Mkuu,order ya kupima DNA inatolewa na makonda au mahakama?.
wanasheria mnisaidie hapo.
Inatolewa na ule muhimili unaotoa pesaorder ya kupima DNA inatolewa na makonda au mahakama?.
wanasheria mnisaidie hapo.
Lazima kutakuwa na makubaliano na maridhiano. THen unayaweka hayo kwenye legal paper, baadae sample inatoa majibu.order ya kupima DNA inatolewa na makonda au mahakama?.
wanasheria mnisaidie hapo.
ulipendeza sana kwenye picha ndio ulikuwa unaolewa eeMmhh! Sawa!
Ndioo[emoji28] [emoji28] [emoji28]ulipendeza sana kwenye picha ndio ulikuwa unaolewa ee
ulinoga sanaaa. hongeraNdioo[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mkuu plz tunakupenda humu jukwaan wasije kukutoroshaNaomba tukishamaliza kupima Wanaume DNA basi kwa ' Ubora ' huo huo pia zipatikane Mashine za kupima Wanaume wenye ' Hips ' na ' Bums ' kisha tupate maelezo ya Kutosha ya ' Kitabibu ' kwamba nini kimesababisha Wao kuwa hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] great thinkerNaomba tukishamaliza kupima Wanaume DNA basi kwa ' Ubora ' huo huo pia zipatikane Mashine za kupima Wanaume wenye ' Hips ' na ' Bums ' kisha tupate maelezo ya Kutosha ya ' Kitabibu ' kwamba nini kimesababisha Wao kuwa hivyo.