SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Hivi wadau kuna hatua zozote zilichukuliwa na vyombo vya dola ikiwemo kumhoji Prof.Lipumba kutokana na hotba, nasaha na mawaidha zake msikitini yanayohatarisha mgawanyiko mkubwa kwenye jamii yetu.
Tumeshuhudia vyombo vya Dola vikiwashughulikia "magaidi wa CHADEMA", waandamanaji, watu wa Mtwara wanaodai kunufaika na gesi, na kudhibiti mikutano ya hadhara ya kisiasa.
Sitaki kuamini kuwa jambo zito hili linapita kimya kimya ila tunaongeza matangazo na kupotezeana muda kuhamasisha Amani.
Au Lipumba alishawahi kutolea maelezo kuwa alimaanisha nini au ile video ili-mwiguliwa kwa ku-nchembwa kumtumia Ludo? Au JK, Mwema, Kova,nk hawajaona jinai yoyote au wanakuwa wote mtambani na walishayamaliza huko? Au hakuna Amani iliyohatarishwa ukilinganisha na waliochelewa kumaliza mkutano? Just thinking aloud.
Hembu tumia common sense kidogo,utawezaje kumshitaki MKEO?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
we una mawazo ya kikafiri kafiri.hii nchi ni wakati wetu wa kutanua kama azimio la abuja lilivyotaka yakhe.rais,igp,jaji mkuu makamu wa rais,wote ni wenzetu hawawezi kuuangusha kwa kuwakamata wenzetu hata pale tunapovunja sheria.we subiri tuwachomee makanisa yote mdhani tutakamatwa.ni wakati wetu kutesa
Nieleweshe mfano wa mahubiri ya uchochezi ya maalim Lipumba!