Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
propaganda sio nzuri kutetea ushoga sio jambo jema.
Ni tahira kama wengine!! kama kila mtu angefanya hivi hata wa Ukraine wasingekua vitani!! ni zuzu pekee ndo anaweza ezuliwa na hii propagandahii video imeniumiza sana Moyo sjui kwa nini.
raia wa russia akiuvunja mguu wa rafiki yake alieitwa kwenye putin Mob. ili kuepuka kwenda Ukraine.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwani watu wawili wakiamua kufanya ushoga wewe unaathirika vipi? Au nawe ni shoga?propaganda sio nzuri kutetea ushoga sio jambo jema.
Kwa hyo hana tofaut na katibu wa kanisa la free church?Putini ameona asife peke yake anaamua kwenda kuwaulisha na wenzake