ni video ya wimbo wake mpya uitwao number one.
video kashoot SA na
imegarim dolla elfu 30 kama million 40 hiv.
gharama hizo ni malipo ya
makampun mawil yaliyoshilikiana kushoot(ogopa nn nyingine ya south)kulipa mamodo wanne
dolla zaid ya 700 kila mmoja.kukodia private jet kubwa iliyotumika kwenye video,pamoja na kulipia ruhusa ya kutumia uwanja wa ndege,kulipia gari aina ya Fellari iliyotumika pamoja n kutengenezea private namba yenye jina lake na wasafi,kulipia private boat kubwa(kama ya psquare ndan onyinye)kulipia helcopter iliyotumika kushoot boat na fellari kwa juu,kulipia jumba lililo ufukweni,kulipa watu wa makeups pia kukatia bima ya kushoot video na
gharam zingine akiwa huko..
maandaliz yote aliyafanya ndani ya mwez mmoja kabla..kubook n.k...video ishakamilika na anatarajia kuizindua week ijayo.
Ni aina ya video ambayo hakuna mtanzania
aliyewai shoot ya kiwango hicho na
niwachache africa
waliowah tengeneza kwa kiwango kile..ingawa diamond mwenyewwe anadai huo ni mwanzo tu..next tym atafanya kitu kikubwa zaid.
.Heaven on desert
#WCB