Niliwahi kukutana na Mkenya mmoja anaishi kwa kupiga mizinga wapita njia wa US, jamaa alionyesha nia ya kurudi home kwao huko Kenya. Kama akishindwa alikuwa ana plan B kuhamia Alaska! Inasikitisha saana jinsi jamaa alivyotoka Kenya akiwa shujaa na sasa ni omba omba kwenye mitaa ya wenyewe.