NHC wanaingia ubia lakini tatizo ni hili hapa, majengo yote wanayojenga wadosi na waswahili mabango wananunua, CRB wanajua hilo vizuri na ukienda kuregister mradi wanaweza hata kukusaidia wapi utanunua bango, sio CRB tu hata bodi ya wasanifu majengo, wahandisi washauri n.k, hata NHC wataingia tu kwenye mchezo huo kupitia maofisa wake wanaohusika na usimamizi wa majengo kwani nchi hii hakuna alie msafi. MUHEGI mimi najua vijana wako ndio wanatuelekeza wapi tukanunue mabango, ni wewe unawatuma maana mchezo huo umekuwa halali kabisa