Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Wakenya ndivyo walivyo wabaguzi mno.... Cheki
( octopizzo ) anaimba nonsense lakini wanamkubali na kumbagua kimani....
Hapana, hebu weka kando hayo mambo ya ukabila Kenya for once unapodadavua mambo mengine, hasa kama haya. Haufanyii masuala fulani Kenya haki unapoyatazama kwa minzani hiyo tu.Kiukweli nimeshindwa kuelewa kama ni ukabila au wivu ?? Sema vyote viwili vina changia. Wameshadai ni mnigeria sio mkenya.
HUYU NI VICTORIA CATWORK MOB MUZIKI hakuna. Aping nigerians will take you nowhere!!! be like STL-stella mwangi na wamuziki wengi wakenya wanaokita mizizi kwa tamaduni za kikenya na wanatamba sana!! hata kama itabidi utumie lugha za mama kuimbia sawa kuliko kukimbilia unanigeria!! huyu stl anaimba mpaka na lugha ya kikiyu. Nyimbo zake mwaka jana wamezitumia Tommy hilfiger kwa catwalk zao na hana wakati wa kulalamika ovyo ovyo.The time I heard Kenyan's wana dis Nyanshiski kudai pesa kubwa kwenye interviews, I knew something was wrong with them!
Your artists are damn good, mnawalet down wenyewe!
I wish Nyanshiski angekua mtanzania, mngeona vile mastaa wanatengenezwa!
Sioni msanii wa kike Kenya anaemfunika Victoria Kimani kwa sasa. Ila mnavyomuongelea as if ni underground artist anaelazimisha fame!
You are a product of a burst condom from a Kikuyu motherTz ni bure kabisa hebu cheki hapa 2018
Walivuma. Meaning kwa sasa hawavumi. Tatizo nikuwa hawana supportItakuwaje abaguliwe eti kwasababu ni mkikuyu wakati kakake, Bamboo alipewa support na wakenya enzi zile hiphop zikivuma?Kulia, Bamboo, kakake Victoria Kimani wakiwa na Abbas Kubaff. Abbas Kubaff na Bamboo. Walivuma sana, enzi zao wakijiita K-South. Kimya, rapper machachari, kakake Victoria Kimani pia ila bado hajulikani sana kama Bamboo.
Siku umeongea point ni leo. Jifunze kuwa unakifanyisha kichwa chako kazi kama leo.Wakulaumiwa si wakenya bali ni wanaotawala airwaves za Kenya kupitia cartels. Hao ndio wanaowanyima wasanii wa maana exposure huku wakihakikisha kwamba wanaoimba takataka ndio wananufaika. Corporate hazisaidii pia safaricom sanasana wanaongoza kwa kueneza ujinga wa sijui 'gospel music'. Wanahusisha the same cartels kwenye concert zao na contract wanaowapa wasanii. Very sad state of affairs.
Bora siko LDC MWAKA WA 2018You are a product of a burst condom from a Kikuyu mother
TZ hakuna mwanamziki anayo pitia ya Kimani. Juzi pia Wema Sepute kashinda tuzo hapa Tanzania ya filamu. She is doing goodHapana, hebu weka kando hayo mambo ya ukabila Kenya for once unapodadavua mambo mengine, hasa kama haya. Haufanyii masuala fulani Kenya haki unapoyatazama kwa minzani hiyo tu.
Victoria Kimani hajajitangaza ipasavyo kwenye soko la Kenya kimziki. Wakenya wengi hawamjui au hata wakiwa wanamjua, nyimbo zake pengine hawazijui. Ikiwa ameshindwa kuunyaka soko hili kimziki, Kosa sasa hapa si ni lake na mapromoters wake?
Hapo Tanzania pia si kuna wanamziki na waigizaji wazuri tu wanaopitia haya ya Victoria Kimani? Hivi Wema Sepetu ni kipi kilichomsibu?
Wewe unayesema mambo ya ukabila/wivu kwani hawa maartistes wengine wenye kutajika humu kama akina King Kaka, Octopizzo, Nyash, Avril etc mbona wasiadhirike na huo ukabila?
Ukabila upo Kenya, hatukatai, lakini nyinyi watz mnaitilia chumvi mno athari ya ukabila kwenye jamii ya wakenya!
You are a product of a burst condom.Bora siko LDC MWAKA WA 2018
At least I don't live in an LDC.😀😀😀You are a product of a burst condom.
You are a product of a failed abortion.At least I don't live in an LDC.😀😀😀
But you live in a failed stateAt least I don't live in an LDC.😀😀😀
TZ hakuna mwanamziki anayo pitia ya Kimani. Juzi pia Wema Sepute kashinda tuzo hapa Tanzania ya filamu. She is doing good
Support walikuwa nayo hao K-South, lakini mwisho wa siku haiku'translate' kwenye donge mifukoni mwao.Walivuma. Meaning kwa sasa hawavumi. Tatizo nikuwa hawana support
Yes proudly. Do you live in an LDC State?But you live in a failed state
Acha nyef nyef. Shida ni kwamba wengi wenu hamjui kwamba tusipokuibaliana kimawazo, haimaanishi eti lazima iwe hivyo kwenye kila jambo linaloibuka. As long as its a civil discussion, I always play ball.Siku umeongea point ni leo. Jifunze kuwa unakifanyisha kichwa chako kazi kama leo.
Mr Nice alipo pata pesa aliingia kwenye ulevi na stareheMbona Mr. Nice anateseka, ikuingie kwamba muziki lazima utie bidii na kama ukiwa one hit wonder, basi hela utakazozipata jaribu kujiboresha kwa kuzitumia kama mtaji. Hata mwanamziki anayeitwa Darassa asipokua makini atazikwa kwa zilizopendwa.
Mashabiki Wakenya sio wafuata mkumbo, lazima utoe kitu cha kukubalika, ukiweza basi kesha studio, pambana hadi kitu utakachokitoa kikubalike, ila Wakenya wakikukubali ujue maisha yako yatabadilika na ndio maana wasanii wa Tanzania hutafuta mbinu zote kuja Kenya, maana kwao wanasota tu kwa sababu nyie support zenu ni makelele tu lakini hamuingii mifukoni, yaani full ubahli.
Mr. Nice yupo Kenya as we speek club hoping akitafuta hela kwa kuosha au kusafisha clubs.Mr Nice alipo pata pesa aliingia kwenye ulevi na starehe
Aliacha hata kuimba kisa ulevi na starehe.
Pata Bongo Fleva kidogo. This is how we support our music