lakini simkenya mwenzenu au ndomambo ya Miguna Miguna ??Ubweha..... C.alitutembelea
Wakenya music industry mmeitupa kabisaWakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.
Think big nigga ndiyo uongee usiwe ropo ropo utaishia kuokota makopo. [emoji51] [emoji91]Wakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.
Akili za kuku hizo, usishangae sana, hapo ndipo uwezo wa kufikiri ulipoishiaThink big nigga ndiyo uongee usiwe ropo ropo utaishia kuokota makopo. [emoji51] [emoji91]
Wakenya ndivyo walivyo wabaguzi mno.... ChekiAkili za kuku hizo, usishangae sana, hapo ndipo uwezo wa kufikiri ulipoishia
Think big nigga ndiyo uongee usiwe ropo ropo utaishia kuokota makopo. [emoji51] [emoji91]
Wakenya huwa hatupelekeshwi kama mambuzi eti kutoa support kisa Mkenya, lazima utie bidii, ufanye kitu cha kuonekana. Sio kama Tanzania watu wanaweza kuelekezwa wote na kutumbukia shimo moja. Kenya lazima uchakarike sio mambo ya kizembe zembe.
Kwa nini Kenya mnamchukia Victoria Kimani ? Kwa nini mnashindwa kutoa support kwa wasanii wenu.? Ningeomba mnijuze ni nini tatizo ?
Kenyans Have Refused To Support Me – Victoria Kimani
It looks like Victoria Kimani is not a happy woman.
The super-sexy singer feels that Nigerians support her more than her fellow Kenyans. Vicky stated that Nigerians the one she should really thank for the milestones she has hit in her career so far. she even did a tour around Kenya recently but locals in most towns were like “Who iz you?”
Miss Kimani apparently posted the rant in an exclusive Kenyan celebrity group saying that some Kenyan deejays and radio presenters were even in positions to help her at one time but chose not to because they hated her.
What's wrong with ?? Mbona hakuna relation na topic, acha jealousHapa Nyang'auland hatutambui Victoria Kimani kama vile Hatutambui Tanzania.
Kimani yuko vizuriWakenya ndivyo walivyo wabaguzi mno.... Cheki
( octopizzo ) anaimba nonsense lakini wanamkubali na kumbagua kimani....