Vibweka vya mahawara


Mwanzo no string attached....mbele ya safari ni balaa
 
Kila aliye kwenye ndoa na aiheshimu ndoa yake!!!
 
veeerry goood
 
kabla ya ndoa mwanamke anakuwa mtamu kweli kweli.Baadaya ndoa sifa zote nzuri za mwanamke zinakwisha.Mkiwa na watoto ndio kabisaa hali ni mbaya.unakuta mwanamke anapepeta mdomo kama makonda wa mbagala.ukishatoka kwa ofisi inabidi utafute safari ya kwenda ili urudi home usiku.sasa ukiwa na service road inabidi seme kero zote!! MWANAUME ANATAWALIWA NA ULIMI WA MWANAMKE.
 
Nlijuaga inauma kwangu tu kuibiwa mpenzi kumbe na mimi nikiibwa na mwingine na yeye anaumia?
 
Si unamwambia tu wife punguza domo
 
itakua ulikurupuka ulivyomuoa na hukumchunguza vizuri, au ulikuwa na nidhamu ya woga ili asikuache hukuwaza ya ndoani



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…