), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya masega urudishe gari yako kwenye ubora wake
Gari ikitolewa masega sauti inaongezeka tena ikiwa ina bunda (muffler) mlio unakua mzito sana na nguvu (horsepower) pia inaongezeka kuhusu mafuta sijui...

Kuna gari kibao tu zina Downstream O2 sensor. Sasa gari ya hivi huwezi kuondoa tu masega kienyeji. Na ukiyaondoa utaenda kuyatafuta wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu.
Lazima uwe umecancel hiyo sensor kama wanavyocancel DPF au EGR.

Hio gari inazo aftermarket parts za kuongeza performance ama? Ndo hizo BMW 320i maana sio gari zote unaweza ongeza HP kwa njia ya masega maana methods zipo nyingi