Emmanuel Nasson
Member
- Dec 7, 2007
- 11
- 3
mzigo umetulia sana mkuu, salute kwako braza
Badala ya kunileta hapa nilipo nataka kuja hapo kwenu ili niweze kupima size na kuangalia kabla hatujaanza kusumbuana kuwa oh kumbe hii size ni ya miguu ya Wajapani au Waturuki,ni bora mseme mlipo kwa hapa Dar
Karibu boss, tupo Ubungo Riverside.. Ukifika piga number 0718708272 utaletwa..
Karibu boss, tupo Ubungo Riverside.. Ukifika piga number 0718708272 utaletwa..
Safi sana Emmanuel, vitu vimetulia na vinapendeza sana. Mungu abariki kazi ya mikono yako
Kumbe jirani tu hapa na mimi hapa!nikipata fedha nakuja kucheki
nimeipenda sendo malapa.....ila mbali na dar