Habari wanjanvi wenzang,kwanz polen kwa mafuliko yaliyo tukumba ktk mikoa tofauti tofauti, nina iphone 4 imetumika week 3 tu nauza kwa bei ya 320000 bei haipungui,,sababu ya kuiuza nikua niliagiza simu ng'ambo ilichukua muda kidogo kuipata so nikakata tama juzjuz ndo nikanunua hii iphone,bado inahali nzuri
16gb memory
3.5 screen
5 mp camera
Call 0756664797 napatikana mwanza,kwa wale wa mikoani tuwasiliane tutaona jinsi ya kutuma,ila sipokei pesa kwa njia ya simu cz utapeli umekua mwingi sana.asanten
16gb memory
3.5 screen
5 mp camera
Call 0756664797 napatikana mwanza,kwa wale wa mikoani tuwasiliane tutaona jinsi ya kutuma,ila sipokei pesa kwa njia ya simu cz utapeli umekua mwingi sana.asanten