Vehicle tracking system

Joined
Jun 3, 2016
Posts
33
Reaction score
5
Je ungependa kujua mahali lilipo gari lako bila hata kumuuliza dereva??

Je ungependa kujua tabia/undeshaji wa dereva wako awapo barabarani??

Je ungependa kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kudhibiti gharama zinazotokana na kuibwa mafuta??

Ongeza UFANISI,USALAMA na FAIDA katika matumizi ya gari lako kwakutumia system yetu ya kisasa kwa bei nafuu.

Kwa maelezo zaidi na kujua bei zetu tupigie kupitia:

0762353296
0718365533
0718945887

Technologia hiyo inafahamika kwa watu wengi lakini tatizo kubwa ni utaratibu na gharama kubwa za kulipia kila mwezi au kila mwaka.
 
Wananyonya sana sio kwamba watu hawaipendi wekeni bei ya kitanzania muone matokeo yake
 
Mimi natafuta tecnolojia ya kumonitor production ya kiwanda kidogo hata nikiwa mbali nione kinachoendelea sijui hii nitapata wapi
 
Nipo curious kujua bei gani mnapigwa kwenye system kama hii?
Kama ni ghali sana naweza tengeneza something similar na very reliable kwa bei ya chini, ila inabidi nijue kama iliyopo sasa ni competitive au la.
 
Mimi natafuta tecnolojia ya kumonitor production ya kiwanda kidogo hata nikiwa mbali nione kinachoendelea sijui hii nitapata wapi
Itabidi uinstall software zilizopo katika market kama WONDERWARE au WinCC iweze ku capture data kutoka process yako halafu u link katika Reporting server then u access database kupitia internet.
 
Weka bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…