VCD/DVD za vituko Bungeni zauzwa Ubungo!

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Nimepita ubungo asubuhi hii,pale wanapouza magazeti ,kuna vijana wanauza DVD za vituko Bungeni ,DVD hizo zimerekodiwa kutoka TBC wakati wa mijadala ya bunge.ajabu ni kuwa kwa sasa film za wasanii zimeharibika bali watu wananunua zile za vituko vya wabunge,juu ya kasha kuwa Juma nkamia,mwingulu nchemba,serukamba,lema na lisu .

pitia nakala yako sasa!
 
Teh teh teh.... Nikipata tym naenda kujipatia yangu
 
Lazima niitafute hiyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu ubungo sehemu gani? Nielekeze vizuri sipo mbali sana na maeneo ya mataa!!
 
Ubunifu Mzuri. Chezea wachina wewe!
 
Aise rudifisheni za kutosha, hakika ni evidence nzuri sana hiyo!! tunaishukuru sayansi na tekinolokia!!
 
Kuna ile "mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa" halafu kwenye background wanasikika mbwa wuw! wuw! wuw!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…