A astrologist JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 221 Reaction score 268 Sep 18, 2019 #1 Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo!
Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo!
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,884 Reaction score 10,221 Sep 18, 2019 #2 ana gundu au hakupewa baraka na mwakyembe?[emoji3][emoji3]
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,123 Sep 18, 2019 #3 [emoji23][emoji23]
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,053 Reaction score 34,490 Sep 18, 2019 #4 Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi.
Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi.
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,505 Sep 18, 2019 #5 magnifico said: Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi. Click to expand... Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepeki
magnifico said: Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi. Click to expand... Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepeki
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,714 Reaction score 19,298 Sep 18, 2019 #6 Kuna mkono wa H.Polepole hapo kama sivyo angepigwa redcard...
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,557 Sep 18, 2019 #7 astrologist said: Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo! Click to expand... Hata hivyo kaweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kusaidiwa na VAR
astrologist said: Bila VAR Samatta angepewa redcard, hii nayo angeweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa na kupewa redcard siku hiyohiyo! Click to expand... Hata hivyo kaweka record ya kuwa mtanzania wa kwanza kusaidiwa na VAR
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,625 Reaction score 38,751 Sep 18, 2019 #8 Waziri wa Kaskazini said: Kuna mkono wa H.Polepole hapo kama sivyo angepigwa redcard... Click to expand... Blac kid said: Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepeki Click to expand... magnifico said: Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] nyie machaliii
Waziri wa Kaskazini said: Kuna mkono wa H.Polepole hapo kama sivyo angepigwa redcard... Click to expand... Blac kid said: Ushawishi wa bashite umesaidia sana ktk hilo la sivyo kadi ilikuwa haikwepeki Click to expand... magnifico said: Ponapona hiyo ya kutaka kutolewa nje kwa kadi nyekundu ni juhudi za Serikali Ya Awamu Ya Tano. Inatakiwa aunge mkono Juhudi. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] nyie machaliii