Msamiati mpya wa bodi ya mkopo wenye kuongeza deni la mnufaika.
Value Retention fee repaid maana yake imeshalipwa lakini wanaiongezea tena kwenye deni.
Wanamahesabu imekaaje hii??
Msamiati mpya wa bodi ya mkopo wenye kuongeza deni la mnufaika.
Value Retention fee repaid maana yake imeshalipwa lakini wanaiongezea tena kwenye deni.
Wanamahesabu imekaaje hii??
Ukichukua statement utaona kuna VRF uliyolipa kabla tarehe 30 April.
Kama umekopeshwa milioni 10.
na VRF ikawa milioni 1.
Jumla ya deni lako linakuwa milioni 11.
Ukilipa milioni 9 hadi sasa. Wanachukua chao cha VRF milioni 1 wanadai hii ni kabla ya Mei mosi na itakayobaki milioni 8 inapelekwa kwenye deni halisi.
Hivyo deni lako litabaki milioni 2.