Lengo nikufikisha ujumbe ninyi vijana wa siku hizi ni mcharuko kwenda mbele halafu mnadanganyana eti Valentine, sisi kipindi tunakuwa na tumezaliwa hapa mjini hiyo valentine haikuwepo mumeiga majuzi tu kutoka nchi za magharibi,hapa bongo Valentine imekuwa siku ya kuambukizana ukimwi na kuongeza idadi ya machokoraa mtaani. Tuenzi utamaduni wetu.