D damcon JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 214 Reaction score 72 Mar 20, 2014 #1 Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232 (chriss@equpointproperty.co.tz)
Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232 (chriss@equpointproperty.co.tz)
Babuu Murasa JF-Expert Member Joined Jan 1, 2013 Posts 229 Reaction score 120 Mar 20, 2014 #2 Ndugu yangu unamtafuta mwajiriwa au mstaafu wakati graduate wapo mtaani hawana kazi? Toa kazi kwa vijana ndugu na mungu atakubariki
Ndugu yangu unamtafuta mwajiriwa au mstaafu wakati graduate wapo mtaani hawana kazi? Toa kazi kwa vijana ndugu na mungu atakubariki
Lukanka JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 510 Reaction score 530 Mar 20, 2014 #3 Babuu Murasa said: Ndugu yangu unamtafuta mwajiriwa au mstaafu wakati graduate wapo mtaani hawana kazi? Toa kazi kwa vijana ndugu na mungu atakubariki Click to expand... Sure! Na kama hofu yake ni ufanisi elimu ya hiyo kitu (documents) itachukua mda gani mtu kuielewa? Think again mkuu.
Babuu Murasa said: Ndugu yangu unamtafuta mwajiriwa au mstaafu wakati graduate wapo mtaani hawana kazi? Toa kazi kwa vijana ndugu na mungu atakubariki Click to expand... Sure! Na kama hofu yake ni ufanisi elimu ya hiyo kitu (documents) itachukua mda gani mtu kuielewa? Think again mkuu.
M mbuyula JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 389 Reaction score 68 Mar 20, 2014 #4 damcon said: Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232 (chriss@equpointproperty.co.tz) Click to expand... unataka kuwin tender, ee we jitahidi utimize masharti yote
damcon said: Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232 (chriss@equpointproperty.co.tz) Click to expand... unataka kuwin tender, ee we jitahidi utimize masharti yote
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Mar 20, 2014 #5 wape chance vijana wapo weng tu mkuu kuliko wastaafu itakuwa vizuri
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 21, 2014 #6 Lukanka said: Sure! Na kama hofu yake ni ufanisi elimu ya hiyo kitu (documents) itachukua mda gani mtu kuielewa? Think again mkuu. Click to expand... yupo sawa, vijana macho juu juu bado katika soko la ajira. wakipigiwa simu za interview tu docs zinawekwa kando.
Lukanka said: Sure! Na kama hofu yake ni ufanisi elimu ya hiyo kitu (documents) itachukua mda gani mtu kuielewa? Think again mkuu. Click to expand... yupo sawa, vijana macho juu juu bado katika soko la ajira. wakipigiwa simu za interview tu docs zinawekwa kando.
M mamkwe charles New Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2 Reaction score 1 Mar 21, 2014 #7 vijana tuko weng sana mitaani mbona hamtuoni?