Uzinduzi wa Mikutano ya Hadhara ya Chadema Kanda ya Nyasa usilisahau Jimbo la Kyela

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,303
Reaction score
271,561
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Kutakuwa na uzinduzi wa mikutano ya hadhara kwa Nchi nzima , na kwa kuanzia jambo hilo litafanyika Kanda ya Nyasa kuanzia tarehe 23/03/2025.



Tunashukuru Chama kwa kuamua kuanzia jambo hili kwenye kanda yetu, Bali tunalo ombi maalum kwamba ni muhimu sana Mikutano hiyo ikafika Jimbo la Kyela, Hii ni kwa sababu zaidi ya 70% ya Wakazi wa Kyela wanaunga mkono Chadema, Jimbo lenye karibu watu wote wanaounga mkono Chadema linapaswa kupewa kipaumbele kwenye mikutano kama hii.

Chadema Kyela ishamaliza kazi ya kuiua ccm, Ukitaka kuthibitisha jambo hili nenda Boda ya Kasumulu ujionee, Unapotokea Lilongwe, Alama ya Kwanza unayoiona ya Tanzania ni Bendera ya Chadema, Kinachofanyika sasa ni kuvielimisha vyombo vya dola ili vitambue kwamba Jukumu lao kubwa si kuilinda ccm
 
No reform no election
Kusini wahitaji uamsho kule
 
 
Kwenye ratiba Kyela halimo
Kyela wabishi na wabahili mno
Hiyo michango yenu ya tone tone kyela mtahojiwa mpaka mkome

Na hiyo kauli mbiu yenu ya no reform no election Kyela jiandaeni lazima mtabanwa na maswali hadi mkome ns mkichemka kujibu wao kuxomea sekunde tu
 
Karibu sana
 
MY FAVORITE POLITICIAN, A HIGHLY INTELLIGENT PERSON WITH, HIGH POWER OF REASONING......ALINIVUNJA MOYO KUTOKANA NA ALIVYOFANYA KAMPENI ZAKE ZA KUMBAGAZA MBOWE! THAT WAS NOT POROER!+

LOOK NOW YOU ARE MISSING MBOWE IN YOUR NO REFORM NO ELECTION ENDEVOURS!



ALL IN ALL, I REMAIN A STAUNCH SUPPORTER OF CHADEMA BUT WITH A LOW PROFILE
 
Mkuu watu watapita lakini Chadema itabaki
 
Kwamba Mbowe kazira baada ya kushindwa? Alitaka afie kwenye hicho kiti?
 
kapumzika anafanya biashara zake, mlitaka aandamane na Lisu kama bodygad
Mbowe hakupaswa kukaa pembeni, hotuba yake ya mwisho alionesha kukubali matokeo licha ya yaliyotokea nyuma. Wakati wote wa uongozi wake, hakuna aliebaki nyuma kwenye any movement aliyoianzisha.
Kukaa kwake pembeni bila kuendelea na harakati za chama sio ishara nzuri ingawa chama kinaendelea.
 
tumpe muda, si dhani kama kakaa pembeni.
 
Kwa mashambulizi yale ya Lisu na team yake kumshambulia na kumdhalilisha Mbowe ,kwa kweli Mbowe na team yake yote wana haki kabisa kukaa pembeni

Lusu na timu yake walichofanya kushinda ile nafasi sio demokrasia kabisa ni uhuni mtupu

Kuita kuwa ile ikikuwa demokrasia ni kudhalilisha demokrasia
 
Kuna Media Partner yoyote utakayokua inarusha mbashara ? Au tubaki mtandaoni
 
Amezira baada ya kushindwa. Alitegemea atafia kwenye hicho cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…