uzinduzi wa
tunawakaribisha
katika uzinduzi wa album mpya ya
'wokovu wetu u tayari
ya cornerstone gospel singers
ambayo itafanyika siku ya jumapili
kuanzia saa 8 mchana na kuendelea
katika kanisa la kijitonyama tag
nyote mnakaribiswa
kwa mawasiliano:
cell: 0784 960517