Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
Shusha nondo kamanda hii si mchezouzi huu ni maalumu kwa kujifunza programming language but kwa kuanzia na c language.why c language.
- large operation system written on c
- even mostly compiler are written in c
- its basic foundation of programming
Je wewe ni mkali wa Java?uzi huu ni maalumu kwa kujifunza programming language but kwa kuanzia na c language.why c language.
- large operation system written on c
- even mostly compiler are written in c
- its basic foundation of programming
Sababu watu wengi si programmer.yani nyuzi kama hizi huwa hazidumu na wala hazina wachangiaji wengi sana
Mimi nafahamu I can teach youaisee nyuzi hizi nzazipenda ila huwa haziendi mbali lakini anayejua ata programming language kwa beginner anifunze
Ukisoma comments utagundua watu wengi hawajui Bali wanabahatisha na wengi Wana copy code na hawajui how does it work.
Languages yeyote lazima ujue vitu vifuatavyo
1.function
2.if statement
3.looping
4.webpack
Na vingime vingi Kama hivi huvifahamu hakika wewe hujui programming
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
HTML ni programming language?Si kweli kuwa lazima ujue hayo what if nadeal na css, HTML so Kuna loop humu?
What if ni C je kuna kuna web pack humu?.
Wewe ni mmoja wao.
Hauna swali la kuniuliza hapa maana ulichoandika kinagusa kote iwe ni style, markup au programming language, labda unioneshe uliposema unaongelea programming language kwenye hayo maandishi niliyo reply.HTML ni programming language?
Ok C haina wat bout other languages?
Pathetic.Hauna swali la kuniuliza hapa maana ulichoandika kinagusa kote iwe ni style, markup au programming language, labda unioneshe uliposema unaongelea programming language kwenye hayo maandishi niliyo reply.
Umesema maneno haya
'Languages yeyote lazima ujue ...'
Na haukuweka
'Programming Languages yeyote lazima ujue...'
Ni wale wale usidharau watu kwa hivyo vigezo.
Jamaa amekuchapa fact, wewe umeishia kupanic. Tatizo nini kakaPathetic.