Akina Nani!?Kuna watu wanasema huyo mbwa amepigwa risasi na mmiliki wake
Wangekuletea umle...maana imekuuma sanahuyu umbwa anazikwa kiheshima hivi duuh,,, na alaiki ya watu nyuma
mkuu acha uchokozi, haijaniuma nimeshangaa tu.....Wangekuletea umle...maana imekuuma sana
Hiyo ni picha nimeleta kila mtu aitafsiri kivyakeKumbe anazikwa! Nilidhani wanajiandaa kumchuna ngozi aliwe kitoweo
Ulitakaje mkuu, kweli aliekuambia uletewe ule hakukoseahuyu umbwa anazikwa kiheshima hivi duuh,,, na alaiki ya watu nyuma
sisi huku kwetu tunafukia tuUlitakaje mkuu, kweli aliekuambia uletewe ule hakukosea
Ukiitwa kutoa ushahidi usiingie mitini...Kuna watu wanasema huyo mbwa amepigwa risasi na mmiliki wake
huwa nasikia wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburiniMbona hakuna wanawake hapo?
AiseeKumbe anazikwa! Nilidhani wanajiandaa kumchuna ngozi aliwe kitoweo
Hadi wamechimba shimo wanataka humo ndani wajaze mkaa. Wakiwasha moto watakula kitu baked.Kumbe anazikwa! Nilidhani wanajiandaa kumchuna ngozi aliwe kitoweo
Bila shaka umesikitishwa kwa kukoseshwa nyama
huwa nasikia wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburini
Kuna watu wanasema huyo mbwa amepigwa risasi na mmiliki wake
Wewe chunguza tu utapata jibu. Ila ni baadhi ya jamii sio woteKweli??? ngoja nichunguzeπ΅π