Uzi apesheli za Afghans

Hujaona vidoa zao kwe amusement park hapo pia wanapakaziwa wanaendesha vigari vya watoto?

hujawaona wanavyosimamia magari na kanzu na AK47?
Viongozi wengi nao walivaa kanzu....
Kucheza ni kujifariji.. it's a fun and pleasure kufurahi... just stressfree
 
Tunasubiri tuone ugunduzi na technologia itakayogunduliwa na watu hao kwa kutumia ilim iliyokatika kitabu hicho wanachosema kimekamilika na hawataruhusu shule za kawaida zaidi ya madrasa
Techno gani wewe.... WANAUME wamewatimua kwa silaha zao walizotechnofy wenyewe
Unadanganyika kea hi-tech !! Mammaee tibu hiyo CORONA kwanza!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…