ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,054
- 49,743
Sina tatizo na jina ikiwa ndio jina lake lakini kupromote urithi wa wengine sikubalianiJiulize kwann lile bwa kubwa ambalo jiwe na vibaraka wake wanalipigia tarumbeta wameliita "stiglers goji"...kwanini wasingeliita "nyerere goji"...
Jiulize tena kwann ile reli inaitwa "reli ya stadard geji" kwanini isiitwe jina lingine la kizalendo??
Kabla hujaanza na hao wamiliki boda boda anza na JIWE/KICHAA ...
Ndugu elewa content za uzi wangu,imagine bus limeandikwa Amazon tours hii inamsaidia nano hapoNguvu kubwa inahitajika katika kupromote utalii wa nje kuliko wa ndani.
Kwanini ziitwe majina ya wazungu/kizungu na kwann zisiitwe majina yanaenzi historia yetu kama taifa?Sina tatizo na jina ikiwa ndio jina lake lakini kupromote urithi wa wengine sikubaliani
Unajuaje Mkuu but good enough ina jina la kiasiliKwanini wewe umeweka avataa ya gesti ya watu na hujaweka picha yako?.
Sina tatizo na majina ya kingereza bali shida yangu ni kutaja vitu vinavyojulikana kabisa kuwa ni kupromote urithi wa wengine nchini kwetu.I'd yako yenyewe ni ya kiingereza kwanini usiweke ya Kiswahili?
Zikiitwa ya kiswahili ingependeza zaidiKwanini ziitwe majina ya wazungu/kizungu na kwann zisiitwe majina yanaenzi historia yetu kama taifa?
Kiongozi ni mfano, na ndio maana nikakwambia usiwalaumu tu hao waendesha boda boda...Zikiitwa ya kiswahili ingependeza zaidi