Uzalendo huu ni wa hapa kwetu Tanzania au na kwingineko?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
40,920
47,024
Itifaki imezingatiwa
Kumekuwa na tabia ya sisi watanzania kuandika, kutangaza na kutukuza biashara au vivutio vya utalii vya nchi za wenzetu na kupuuza vyetu
Utakuta magari yameandikwa amazon tours,bercelona mara ukanda wa gaza sijui kandahar,Tecno nk nk .Huwa najiuliza kwa nini tusitumie utambulisho,urithi na fahari za kitanzania kwenye biasharazetu? Hii itakuza utalii wa ndani na kuthamini vyetu.Kongole kwa superfeo aliyeandika jina la selous tours kwenye mabus yake.
Natoa wito kwa mamlaka za serikali na watoa leseni walitazame hili
 
Jiulize kwann lile bwa kubwa ambalo jiwe na vibaraka wake wanalipigia tarumbeta wameliita "stiglers goji"...kwanini wasingeliita "nyerere goji"...

Jiulize tena kwann ile reli inaitwa "reli ya stadard geji" kwanini isiitwe jina lingine la kizalendo??

Kabla hujaanza na hao wamiliki boda boda anza na JIWE/KICHAA ...
 
Nguvu kubwa inahitajika katika kupromote utalii wa nje kuliko wa ndani.
 
Jiulize kwann lile bwa kubwa ambalo jiwe na vibaraka wake wanalipigia tarumbeta wameliita "stiglers goji"...kwanini wasingeliita "nyerere goji"...

Jiulize tena kwann ile reli inaitwa "reli ya stadard geji" kwanini isiitwe jina lingine la kizalendo??

Kabla hujaanza na hao wamiliki boda boda anza na JIWE/KICHAA ...
Sina tatizo na jina ikiwa ndio jina lake lakini kupromote urithi wa wengine sikubaliani
 
Kwanini wewe umeweka avataa ya gesti ya watu na hujaweka picha yako?.
 
I'd yako yenyewe ni ya kiingereza kwanini usiweke ya Kiswahili?
 
I'd yako yenyewe ni ya kiingereza kwanini usiweke ya Kiswahili?
Sina tatizo na majina ya kingereza bali shida yangu ni kutaja vitu vinavyojulikana kabisa kuwa ni kupromote urithi wa wengine nchini kwetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom