Ni PM budget yako...
nna Toshiba mini laptop
1 GB of RAM
1.66 GHZ processor
320 GB HDD
Inakaa na charge masaa (nane)
hii itanifaa hata mim bei gani mkuu!! Au jamaa kaichkua?Ni PM budget yako...
nna Toshiba mini laptop
1 GB of RAM
1.66 GHZ processor
320 GB HDD
Inakaa na charge masaa (nane)
Wakuu nahitaji mini laptops na laptops.
iwe angalau na
HDD 250GB na kuendelea
RAM 1GB na kuendelea
speed. 2.5 na kuendelea
nitafurahi kama nitapata accer, Samsung, hp, asus,
betri iwe bado nzima iwe inadum hata masaa manne
iwe katika hali nzuri,
n
Nina Acer,mini laptop mpya ya specification ulizotaja. Ni pm nipe budget yako nikuuzie.
Nina accer 1.66 GHZ processor
350 HDD
2BG RAM.ni pm tufanye business.