Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,143 Dec 2, 2013 #21 hekimatele said: Nimeuliza kinachosababisha hiyo trend haswa ni nini. Kwamba hizo simu ni cheap kupatikana, au ubora wake kimeo, au zinapendwa sana? Nauliza nijue Click to expand... wengi walionunua wanaziuza mana znaboa
hekimatele said: Nimeuliza kinachosababisha hiyo trend haswa ni nini. Kwamba hizo simu ni cheap kupatikana, au ubora wake kimeo, au zinapendwa sana? Nauliza nijue Click to expand... wengi walionunua wanaziuza mana znaboa
R rickaz Member Joined Aug 9, 2009 Posts 40 Reaction score 2 Dec 2, 2013 #22 Tembelea mnada.co.tz utapata NOKIA Lumia kwa bei nafuu au kwa njia ya ushindani (mnada)
L Luqash JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 916 Reaction score 343 Dec 2, 2013 #23 kejof2 said: wengi walionunua wanaziuza mana znaboa Click to expand... Mkuu umeshatumia Lumia lakini?
kejof2 said: wengi walionunua wanaziuza mana znaboa Click to expand... Mkuu umeshatumia Lumia lakini?
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,143 Dec 2, 2013 #24 KomboJr said: Mkuu umeshatumia Lumia lakini? Click to expand... nilikua na lumia 820 windows phone 8 sijaipenda nimerudi android
KomboJr said: Mkuu umeshatumia Lumia lakini? Click to expand... nilikua na lumia 820 windows phone 8 sijaipenda nimerudi android
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Dec 3, 2013 #25 kejof2 said: wengi walionunua wanaziuza mana znaboa Click to expand... Swadaktaaaaaaaaaa Jibu murua kabisa
kejof2 said: wengi walionunua wanaziuza mana znaboa Click to expand... Swadaktaaaaaaaaaa Jibu murua kabisa
TheRedKop Member Joined Jul 8, 2011 Posts 64 Reaction score 13 Dec 3, 2013 #26 Ebana umepata? Nnayo 925 kwa laki 9 cash! Ni mpya
K K-Boko JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 697 Reaction score 218 Dec 3, 2013 #27 sunna said: Wekeni picha Click to expand... Tehe tehe!!