Uwiano katika mahusiano ni kitu kisichoepukika, kama unataka kufurahia mahusiano yako.
Mwanamke mnene anatakiwa awe na mwanaume mwembamba
Mwanamke mwembamba anatakiwa awe na mwanaume mwembamba na mrefu
Mwanaume mfupi anatakiwa awe na mwanamke mnene
Mwanaume mrefu anatakiwa awe na mwanamke mwembamba
Mwanamke mfupi anatakiwa awe na mwanaume mfupi
Mwanaume mwenye kitambi anatakiwa awe na mwanamke mfupi na mwembamba
Ni vizuri na muhimu kufuata huu uwiano kwa sababu unaendana na ukubwa wa vitendea kazi mlivyonavyo, ukienda tofauti na hapo; utajikuta unaeleaelea au kupwaya kwenye kitendea kazi cha mwenzako.