uwezo wa laptot aina ya samsung n150 processor type atom n450

Darius

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
1,951
Reaction score
320
procesor type-atom N450 processor speed-1660.0MHZ memorysize-1024MB memory type DDR2 SDRAM memory speed-800MHz drive size-160.0GB Hard drive speed-5400.0RPM drive controllers-serial ATA II Naomba kujua ubora wa hio laptop kutokana na specification hapo juu! nawasilisha
 
mambo ya voda hayo?

kiukweli hapo ni kama unabeba pc ya android hakuna kitu atom processor hasa ambazo sio baytrail zina uwezo mdogo sana. ila kwa bei ya laki 2 sio mbaya utaangalizia movie na kucheza zuma
 
mkuu me nipo first year hapa ardhi university nahitaji laptop kwa ajili ya program za michoro ya nyumba i.e AutoCard, ArchtCard programe , vp hio laptop itanifaaa
 
kaka nisikupe moyo inshort haitafaa. haiwezi kurender mambo ya 3d hio.

jichange change angalau fika 4 au 5 utapata ya maana mcheki baraka607 huwa analeta vitu vya maana muelezee kama wewe ni mwanafunz
 
poa mkuu ngojanimtafute huyo baraka607
 
Last edited by a moderator:
mkuu me nipo first year hapa ardhi university nahitaji laptop kwa ajili ya program za michoro ya nyumba i.e AutoCard, ArchtCard programe , vp hio laptop itanifaaa

kaka kusanya hela ununue computer ya maana, nlikuwa na mac book pro nkawa na archcard, atlantis kwa wakati mmoja. nkawa nikifungua archcard computer inafreeze. nkaiuza nkanunua mashine tata. so far tafuta computer yenye 4 GB ram na kwenda mbele/
 
Tafuta hp probook 45 au 43 series intel core i 5 au i 3 processor 3ghz ram 4 gb hd utachagua 500 gb au 640 gb hiyo ndio itakufaa
 
mambo ya voda hayo?

kiukweli hapo ni kama unabeba pc ya android hakuna kitu atom processor hasa ambazo sio baytrail zina uwezo mdogo sana. ila kwa bei ya laki 2 sio mbaya utaangalizia movie na kucheza zuma

Hahahahahahahaha!!! daaah 🙂
 
kaka kusanya hela ununue computer ya maana, nlikuwa na mac book pro nkawa na archcard, atlantis kwa wakati mmoja. nkawa nikifungua archcard computer inafreeze. nkaiuza nkanunua mashine tata. so far tafuta computer yenye 4 GB ram na kwenda mbele/

nimekusoma mkuu!
 
Tafuta hp probook 45 au 43 series intel core i 5 au i 3 processor 3ghz ram 4 gb hd utachagua 500 gb au 640 gb hiyo ndio itakufaa

nimekusoma mkuu! Vp budget yangu inarange laki4-5! Vp ntapata hio?
 
Kwenye lak 5 na 90 unapata toshiba safi kabisa intel core i3 3ghz ram 4gb hd 500 gb
 
out of range..!me nina lak5 mwisho...! c unajua mambo ya boom
 
hii pc nlikua nayo na kama ni maswala programs nzito kama auto CAD na nyingine mimi sikushauri uichukue!! tafuta dell vostro, au hp 650....angalia sana processor na ram....kwa vostro ukipata hata i3 iko safi sana!!! ram ukipata yenye 2gb au 4gb ndio yenyewe....ongeza bajet ukachukue vostro kamwe hutajutia ela yako!!
 
mkuu Lordvile kwa laki5 cipati?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Lordvile kwa laki5 cipati?

kwa maduka mengi hapa tz naona wanachezea 650 mpaka 600!! ila unaweza bonga nao wakashusha!!!
kuna pia hp 650 na dell inspiron 15(kiasi flani hii ni mpya na zina patikana sana na ni chaguo zuri sana) nazo ziko poa(japo angalia sana ram iwe hata 2gb and above na processor iwe dual core na hard disc iwe 320 hata 500gb) ambazo hata kwa laki5 unaweza pata!!
kumbuka kama unaona hufiki 500 ni bora na vyema ukachukua dell inspiron 15 kuliko kuchukua mini laptops!!!
 
pamoja mkuu Lordvile
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…