esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 555
So what??Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini, Injinia Patrick Mfugale, alisema ndani ya muda huo uwanja huo utakuwa umekamilika. Alisema uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watu kati ya 85,000 mpaka 105,000 ambao watakaa vizuri wanapokuwa wanatazama mpira.
Alisema jana wamewasili eneo la Nzuguni litakalojengwa uwanja huo na wataalamu kutoka Morocco ambao wamekubaliana na michoro ya ujenzi ikiwamo eneo pia. Alifafanua zaidi ya kuwa Rais John Magufuli anataka hata kesho uanze na kuongeza; Magufuli alisema yuko tayari kuchangia chochote ili mradi uwanja ukamilike.
"Kwa kweli hautachelewa tukikamilisha baadhi ya taratibu tu, zoezi la ujenzi linaanza," alisema Mfugale.
Akuzungumzia eneo linalotarajia kujengwa, alisema ni zuri na linafaa kwa ujenzi huo wa kwanza. Aidha, mwakilishi kutoka Morocco, Soussi Yassir, aliipongeza serikali kwa kuteua eneo zuri la ujenzi huo. Alisema ujenzi utaanza haraka iwezekanavyo ili kuhakikisha jiji linakuwa na uwanja wa michezo wa kisasa Alisema hawataiangusha serikali kwa kuwa wamejipanga vizuri kuitekeleza kazi yetu.
kwa nini una hasira hivyo?So what??
Na lile bomba la mafuta Hoima - Tanga bado ligakamilika June mwakani?Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini, Injinia Patrick Mfugale, alisema ndani ya muda huo uwanja huo utakuwa umekamilika. Alisema uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watu kati ya 85,000 mpaka 105,000 ambao watakaa vizuri wanapokuwa wanatazama mpira.
Alisema jana wamewasili eneo la Nzuguni litakalojengwa uwanja huo na wataalamu kutoka Morocco ambao wamekubaliana na michoro ya ujenzi ikiwamo eneo pia. Alifafanua zaidi ya kuwa Rais John Magufuli anataka hata kesho uanze na kuongeza; Magufuli alisema yuko tayari kuchangia chochote ili mradi uwanja ukamilike.
"Kwa kweli hautachelewa tukikamilisha baadhi ya taratibu tu, zoezi la ujenzi linaanza," alisema Mfugale.
Akuzungumzia eneo linalotarajia kujengwa, alisema ni zuri na linafaa kwa ujenzi huo wa kwanza. Aidha, mwakilishi kutoka Morocco, Soussi Yassir, aliipongeza serikali kwa kuteua eneo zuri la ujenzi huo. Alisema ujenzi utaanza haraka iwezekanavyo ili kuhakikisha jiji linakuwa na uwanja wa michezo wa kisasa Alisema hawataiangusha serikali kwa kuwa wamejipanga vizuri kuitekeleza kazi yetu.
Uraisi ni kazi rahisi sana ila ukitaka kila kitu ufanye wewe lazima uone ni mzigo kwa kifupi kazi yoyote ile ukiwa unakomaa ufanye mwenyewe lazima iwe ngumuUrais ni kazi ngumu aiseh.
Nimeona pia amealikwa kuwa Mgeni rasmi siku ya Mei Mosi. Sasa hapo sijui anafanyaje. Rais anae mambo mengi aiseh halafu muda ni mdogo
So whatkwa nini una hasira hivyo?
Una hatari ya kupata gonjwa la moyo na kiungulia sugu
So whatUrais ni kazi ngumu aiseh.
Nimeona pia amealikwa kuwa Mgeni rasmi siku ya Mei Mosi. Sasa hapo sijui anafanyaje. Rais anae mambo mengi aiseh halafu muda ni mdogo
Nadhani wanaplan kwa ajili ya miaka ya mbele
Nadhani wanaplan kwa ajili ya miaka ya mbele
hebu tusubiri tuone wanatumia technologia gani mkuu mambo yanabadilika kila kukicha...Uwanja wa taifa ule mpya ulijengwa na wachina miaka si chini ya 3 sasa hawa wanataka kusema uwanja mkubwa zaidi ya ule wataukamilisha 2021?
Kwani na kule ufipa kipaumbele ni nini? naona mwenyekiti anakula ruzuku baada ya kujenga ofisi ya chama.Uwanja huo utalaza wagonjwa wangapi kwa wakati mmoja? Watakaa wanafunzi wangapi humo wasio na vyumba vya madarasa na madawati? Watasoma wanafunzi wangapi wasio na vitabu vya kiada na ziada? Watachota maji wote kwa wale wasio na maji vijijini?
Vipaumbele ni tatizo sugu kwa ccm"
Bora wangejenga viwanja viwili vya watu 50,000 kila kimoja ingeleta maana au hata wangejenga ukumbi mkubwa wa mikutano ya kimataifa ungeipa hadhi Dom na mapato ya maanaHuu wa Dar umejengwa miaka 13 imepita ila haujazi na hauwezi jaza
Wangejenga viwanja vitano vya watu 20000 ingekuwa na maana sana
Sent using Jamii Forums mobile app