Hongera kwa wazo la kujiajiri,Mungu akutangulie. Kuhusu vigezo ni kwamba unatakiwa kuwa na tin,leseni ya biashara mbili that means uwe kwenye biashara kwa miaka miwil,wadhamin wawil, mtaji kiwango cha chin milion moja,gharama ya mashine skumbuki vizur.
Ila kwa ufanisi zaid nafikir weka na mpesa ,tgo pesa na nmb wakal. Kila lilojema liwekwako