Uvimbe baada ya kutoboa sikio unaondolewaje?

Keroit hiyo, ngoja wataalam waje kuna sindano inapigwa hapohapo kwenye uvimbe.
 
Watu mnaweweseka sana na hii dunia, kuna ulazima gani kutoboa toboa matundu mwilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…