Uvimbe baada ya kutoboa sikio unaondolewaje?

Uvimbe baada ya kutoboa sikio unaondolewaje?

mwendapole12

Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
21
Reaction score
26
Wakuu nini surulisho la kuondoa uvimbe huu unaotokea baada ya kutoboa sikio
20230601_200027.jpg
 
Keroit hiyo, ngoja wataalam waje kuna sindano inapigwa hapohapo kwenye uvimbe.
 
Watu mnaweweseka sana na hii dunia, kuna ulazima gani kutoboa toboa matundu mwilini?
 
Back
Top Bottom