UVCCM yawasha moto Mbeya mjini

ccm Mbeya mjini isahauni, Mlishatuchosha na mbunge wenu mpesya. Mbeya ccm tunaichukia mno, Maendeleo vurugu. Huusika.
 
ccm mnachekesha sana. mnek shitambala sambwee anajenga matawi na kuyazindua mwenyewe na gharama za wapambe mwenyewe. Leo yupo iziwa.
 
Kipindi cha utawala wa ccm mbeya kulikua na kupiga nondo tangu sugu aingie ccm wameufyata hakuna nondo tena
 
Mjiandae kisaikolojia kupoteza hata viti vya udiwani hapa mbeya. Hii zama ya ukombozi. Poor ccm will burnish
 
Umelogwa nini..? Mbona unatunga hadhithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Mpuguso haiko Mbeya mjini, hapo ni wilaya ya Rungwe, Jimbo la Rungwe magharibi, jimbo la Prof David Mwakyusa. Wakati mwingine ndugu zangu wa CCM kabla hamjaposti ushuzi wenu Jf Jipeni muda wa kufanya utafiti japo kidogo!
 
Waongo hawa Mimi Niko Mbeya block T ccm kidogo inasikika uswahilini soko matola , mziki Wa Mbeya ni mkubwa chadema hawaiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…