UVCCM wajifungia Dodoma

Mdaharo kwa wanasiasa ni muhimu kwa wananchi kumufahamu mwana siasa anayetaka uongozi kama atakuwa kiongozi imara anayeweza kujibu hoja na kutatuwa changamoto za wananchi.
 


Uwiano wa wajumbe ni ngapi hapo ndani? Tulikubaliana 50 kwa 50
 
Huyo Leonard Singo naona wamemkumbuka kidogo atapunguza kujipendekeza fesibuku!
 
Kale kakijana kanaitwa bomboko KALITEULIWA KUWA MUHAMASA AKAANZA KUTENGENEZA GENGE LA KUMPINDUA MWANGWALA. Walikatengua onsport
 
Mbona nyuso zao ni kama kuna kitu wanakiogopa vile? Yaani nyuso siyo kunjufu kabisa. Ni kama kuna kitu mbele hawakielewielewi vile!
 
Kwa muonekano tu kila mmoja kichwani ni kama anajiuliza, "Hivi mimi nitapata nafasi gani vile ya uongozi"? Lini? "Mbona naona kama siku zinaisha sijapata nikitakacho? Nani nijipendekeze kwake? Nani mwenye mamlaka anayenifahamu vizuri?
 
Hiii kwanini kusitokeee taasisi moja ikakutanisha Bavicha na Uvccm katika mudahalo wa kisiasa na uchumi?? Tukaona uwezo wa hizi idara
Amin amin nakwambia mkuu hakuna mwana UVCCM atakaye kwenda kwenye hui mdahalo,uwezo wao kiakili ni mdogo mdogo mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…