SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Hiii kwanini kusitokeee taasisi moja ikakutanisha Bavicha na Uvccm katika mudahalo wa kisiasa na uchumi?? Tukaona uwezo wa hizi idara
thubutu, hahaaaaaaaaaaaaaaaa! Uvccm labda waazime vijana kutoka 'nchi jirani'Hiii kwanini kusitokeee taasisi moja ikakutanisha Bavicha na Uvccm katika mudahalo wa kisiasa na uchumi?? Tukaona uwezo wa hizi idara
Mkuu tunataka tuone hawa ma-think tank wa Taifa kama WANA uwezo wa kuchambua mambo kwa hoja na sio kuwa walopokaji.tujue uimara na uwezo wa taasisi hizi muhimu za kisiasaUmewaza mbali sana
Hiii kwanini kusitokeee taasisi moja ikakutanisha Bavicha na Uvccm katika mudahalo wa kisiasa na uchumi?? Tukaona uwezo wa hizi idara
Mkuu acha masihara yaani unamaanisha hata mwenyekiti hana uwezo kuwakuchambua vitu ipasavyo?thubutu, hahaaaaaaaaaaaaaaaa! Uvccm labda waazime vijana kutoka 'nchi jirani'
Mkuu hebu Fanya ushawishi hapo Lumumba tuone kama kweli Bavicha tutawagalagaza.maana wanajiona vichwa na wenye kujenga hoja??.Lakini nakumbuka hata Tido alianzisha kwa wagombea uchaguzi wa 2010 ila ccm wagombea wetu waliingia mitini!!!Ba-vichaa wanapigwa 10 - 0
Mkuu wanapigwa kwenye nn tenaBa-vichaa wanapigwa 10 - 0
Maendeleo hayana vyama!Hakuna jipya hapo!
Mkuu hebu Fanya ushawishi hapo Lumumba tuone kama kweli Bavicha tutawagalagaza.maana wanajiona vichwa na wenye kujenga hoja??.Lakini nakumbuka hata Tido alianzisha kwa wagombea uchaguzi wa 2010 ila ccm wagombea wetu waliingia mitini!!!
UVCCM ilikuwa ile ya akina Emmanuel Nchimbi bhana!Maendeleo hayana vyama!
Idea nzuri sana hiyo, hope wahusika wataifanyia kaziHiii kwanini kusitokeee taasisi moja ikakutanisha Bavicha na Uvccm katika mudahalo wa kisiasa na uchumi?? Tukaona uwezo wa hizi idara