Usidanganye umma,tupo Jordan chuoni-moro wala hakuna cha ngome ya ccm.Tatizo unakimbilia wali pale usambala kutoka kwa Abood.Acha mazo mgando nani ashabikie magamba leo hii.
Ndio mazoea ya watu waccm kusema uongo wanawarithisha hata vijana wadogo kama hawa kusema uongo. Mimi ni mwanafunzi hapa chuo na hicho alichokiandika ni uongo mtupu,rais na cdm na viongozi karibu wote ni cdm. Sasa aniambie wanapofunikia ni wapi? Acha uwongo mchana kweupe
tatizo nyie wafuasi hewa wa chadema hamna msimamo na mawazo endelevu mpo kama upepo ukivuma huku mpo kule mpo.ndo maana hamuendelei
kesho ikija ccj wote mpo huko
utaishia kuwa mwalimu hivo hivo
tulitegemea upandishe elimu ndo kwanza unachangia kushusha elimu daaa
Sasa unafikiri kuongeza elimu mpak uwe ccm.?Naona unatoa mapovu,CCM hakuna chochote.
Naona umeshikwa nyeti laivu!!! Njia ya mwongo ni fupi!!!!!!!!!!!!!!tatizo nyie wafuasi hewa wa chadema hamna msimamo na mawazo endelevu mpo kama upepo ukivuma huku mpo kule mpo.ndo maana hamuendelei kesho ikija ccj wote mpo huko utaishia kuwa mwalimu hivo hivo tulitegemea upandishe elimu ndo kwanza unachangia kushusha elimu daaa