UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA

Hii hekaya yako ingenogeshwa hata na picha mkuu wangu! maana kwa Unga limited hamnaga CCM kabisa so huu ni uongo uliotukuka
 
Kwa sasa hatuhitaji kuambiwa muhuni ni nani kati yako na hao unaowataja, wahuni nchi hii wanafahamika na ndo chanzo cha umasikini wa nchi tajiri kama hii
 
nchi inatawalika wakati kila siku mkuu analiwa kona na mafisadi,wanaiba watakavyo maana pale usingizi wa pono!
 
Hivi ccm walikua wapi mpaka Lema aje kuwadanganya wakazi wa Arusha?Ahadi za ccm zimetimizwa zote?uuwii huyo Munisi kwa nini anakosa adabu namna hiyo?Slaa na Mbowe si rika lake sasa kwanini anawataja kama anataja watoto wake?Ushauri wa bure kwake siasa uchwara zisimkoseshe nifhamu arusha tunaheshimu umri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…