Haya ni matusi ndugu yangu, yawezekana hukunipata baada ya kusema mtakufa mmeegemea choo; usemi huu unamaana ifuatayo, mtu anabeba mzigo mzito kuzidi uwezo wake, ghafla anaamua kuutua na kuegemea kwenye jengo moja na ghafla fahamu zinamwishia na Israeli anapita Roho yake, mtoto mmoja anapita jirani na njemba huyu alipofia na kumuona mtu huyo aliyekufa, mtot bila kujua kuwa huyo tayari ni marehemu anamwambia mzazi wake, baba mbona mtu yule ameegemea choo? Baba anasogea kumuona mtu yule nakugundua kuwa amekufa, Baba wa mtoto yule anamjibu mwanaye kwa sauti ya masikitiko, ohhh "mwanangu mtu huyu amekufa ameegemea choo", Hivyo siyo matusi wala suala la mtindio wa Ubongo halipo hapa. Tumia maneno yenye hekima tu tena jenga hoja badala ya matusi.T