View attachment 2663375Mimi ni mpenzi sana wa hivi viatu,brogues. Kwa mnaojua viatu, ninadhani mnajua heshima inayoletwa na viatu hivi. Pia ,ni timeless.
Lakini ,sijui inakuwaje? Kila nikinunua, nikivaa sijisikii comfortable. Ni vigumu, na huniumiza miguu yangu. Ninajitahidi kupata size yangu lakini haisaidii. Vidole vitabaki salama , vifundo vya kidole kidogo cha mwisho na hiki karibu na dole gumba vitakoma.
Wenzangu ninaona mnavitinga na kuenjoy. Njnaomba ushauri.