simon temba
Member
- Dec 20, 2018
- 11
- 0
Miez mitano na nusu kuendelea anafundishikaKwa mbwa wa umri gani?
Sahihi kabsaNafikiri best time kumfundisha mbwa ni kuanzia miezi 5 hadi 10 tangu azaliwe
Dar es salaaam mbezi apaHiyo BOARDING ya mbwa iko mkoa gani?
Litoto(limbwa) ama?[emoji3] [emoji3] haliskiii mpaka utumie vipigo?Kuna litoto langu kule nyumbani ntamleta mumfundishe
nimeshapiga vipigo vyote ila bado
ntawatafuta.
Asante.
libinadamu etLitoto(limbwa) ama?[emoji3] [emoji3] haliskiii mpaka utumie vipigo?
Mlete tu tutamweka kweny mstari unaotakiwaKuna litoto langu kule nyumbani ntamleta mumfundishe
nimeshapiga vipigo vyote ila bado
ntawatafuta.
Asante.
libinadamu et
WapoNikitaka mbwa kununua mdogo mnauza ?