Uuuwiiiiiii

Jamaa kafumba macho asijione anavyokufa nini???
 
Hata kama haina risasi, usiombe uwe ndo weye hapo mbele ya hicho kibomba. Damu husisimka kama unayeng'atwa na wale siafu wekundu wanaokaa kwenye miembe weye.
Uliza waliowahi kukutana na Bus lililotekwa.
 
kufumba macho hakuzuii hiyo risasi bali kukabiliana na kifo
 
ipo karibu hivyo atamuua nani nampiga mpaka anakojoa dagaa halafu namshikisha ukuta fasta
 
Hapo mkuu valve zote zimelegea yaani chochote kinaweza kumtokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…