nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,914
Msaada Drs..
Uume wangu ulianza vipele baada ya kunyoa baada ya Hapo vikaleta vidonda nikaenda duka la dawa nikapewa fluconazole tabs na sonaderm cream nikatumia vimekauka sasa vimeleta vitu vifuatavyo.
Vilenge lenge vinakuwa kama mtu mwenye mguu wa tende.
Aisee vimeniondoa mchezoni wakuu.
Naombeni Ushauri nifanyaje?