Uturuki kashaingia Libya tayariKwanini uturuki analazimisha kula mfupa ambayo marekani ameshindwa kumeza? ningekuwa rais wa uturuki ningeondoka Syria kuliko kuwatesa jeshi la uturuki mbele ya mbabe Russia (Putin)
Sent using Jamii Forums mobile app
nako anapata kibano Aljazeera leo wameripoti Mbabe Haftaly kasema wamewalambisha mchanga waturuki 16Uturuki kashaingia Libya tayari
Ni aibu ndyo maana anashindwa kurudisha jeshi nyumbanihahahaha yaaani huu mnyukano unanichekesha nafuatilia wanajeshi wa uturuki wanavyonyukwa huko syria.
Mbona Kila sehemu ni kipigo tu amekosea Nini dunia?nako anapata kibano Aljazeera leo wameripoti Mbabe Haftaly kasema wamewalambisha mchanga waturuki 16
Mbona Kila sehemu ni kipigo tu amekosea Nini dunia?nako anapata kibano Aljazeera leo wameripoti Mbabe Haftaly kasema wamewalambisha mchanga waturuki 16
hahahahaTatizo sio kuondoka sirya tatizo ni raia watawauliza kilicho kuwa kimewapeleka sirya ninini?
Kwani Tz nayo isipeleke wanajeshi wake huko maana dona kantre zote zina wanajeshi wake kule.nako anapata kibano Aljazeera leo wameripoti Mbabe Haftaly kasema wamewalambisha mchanga waturuki 16
unaweza kuona wanapigwa ila kuna jambo wanafidika nalo sana tu hao watu waone tu hawaendi mahali kupoteza tu bila kupata chochote, japo ki uhalisia wanajeshi wake wanapata shida tuKwanini uturuki analazimisha kula mfupa ambayo marekani ameshindwa kumeza? ningekuwa rais wa uturuki ningeondoka Syria kuliko kuwatesa jeshi la uturuki mbele ya mbabe Russia (Putin)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa na mbaya zaidi ataweza kuondolewaTatizo sio kuondoka sirya tatizo ni raia watawauliza kilicho kuwa kimewapeleka sirya ninini?