Wadau ,je utumishi humpigia simu kila aliechaguliwa kuingia kazini baada ya oral interview ?
Je,kama hupiga simu ,je hupiga kabla au baada ya matokeo ya oral?
Wadau ,je utumishi humpigia simu kila aliechaguliwa kuingia kazini baada ya oral interview ?
Je,kama hupiga simu ,je hupiga kabla au baada ya matokeo ya oral?
utumishi wa umma huwa wanatoa majina kwenye web yao kwa wale waliochaguliwa,baada ya kutoa majina kwa nafasi zilizokuwa zimetangazwa huwa kuna watu ambao huwa wanakuwa wamefikisha vigezo vyao vya ufaulu na hawa huwa wanapigiwa simu kwa nafasi ambazo hutokea ambazo hazikutangazwa kabla
Hawana kawaida ya kupiga cm, ila huwa wanaweka majina kwenye mtandao wao na mitandao mingine na pia kutuma barua kwa anuani za waliofahuru baada ya mwez 1, hivyo jitahidi kutembelea mitandao mbalimbali inayotoa matangazo ya kaz.
Kama nilifanya interview na sikuwepo kwenye majina ya kupangiwa vituo vya kazi, inawezekana nikawa nimefeli au nimekosa nafasi. Nitafahamu vipi Kama nimewekwa kwenye kanzidata (database)?
Kama nilifanya interview na sikuwepo kwenye majina ya kupangiwa vituo vya kazi, inawezekana nikawa nimefeli au nimekosa nafasi. Nitafahamu vipi Kama nimewekwa kwenye kanzidata (database)?
Kujua si rahisi ila inategemea kwanza wewe mwenyw usahili uliuonaje kama ulikosa maswal mengi sio rahisi kuepo lakini kama ulijibu vizur angalau moja ulichemka unauezo wa kuwepo suala ni kua nafasi zilikua chache hivyo wakachukua wenye max za juu.
Watu wanaopata kupitia hizo hua hawajui wanashtukizwa mi kuna mtu namfaham alipigiwa sim akapata kaz na hizo usipopokea tu ndio imekula kwako ila wengine majina yaanatokea kwenye kupangiwa kazi bila simu kwaio kama usipojua ndio bc tena