Saa na kucheat vinahusiana nini jamani? Au mimi ndo mshambaSaa zilipigwa marufuku sababu ya cheating lakini lazima zifike sema kila swali unatakiwa kutumia dakika 10[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kila la kheri mkuu nasikia paper ilikunjwa kwaajili ya kuwakanda
Wanawafatiliaje?Kuna Taasisi nyeti nilialikwa kushuhudia usaili nikashangaa sana.
Kumbe wanawafatilia 3weeks 24hrs.
Amen
Hakuna Sanaa
Kuna smart watch,hizi zina hadi internet so you can google, pia zinakuwa connected na simu so unaweza soma na kujibu texts kupitia hiyo saa..wanahofia unaweza mtumia mtu alie nje maswali then akakusaidia kujibu..Saa na kucheat vinahusiana nini jamani? Au mimi ndo mshamba
Paper la kawaida Sana kwa Mtu aliyesoma hata certificate ya community development na anajua lugha vizuri hakosi 90/100 tujitahidi kusoma guyz Mimi nimesoma education lakini huo mzigo hapo Juu unaeleweka Sana ningeishi nao Vizuri.
Paper la kawaida Sana kwa Mtu aliyesoma hata certificate ya community development na anajua lugha vizuri hakosi 90/100 tujitahidi kusoma guyz Mimi nimesoma education lakini huo mzigo hapo Juu unaeleweka Sana ningeishi nao Vizuri.
Sema huo Muda dk 40 mnaandika kila swali Mfumo wa essay au short breaf explanations?
Kweli mkuu ilikuwa nikuomba Mungu akupe utulivu (Composure) tu nadhani Kwa mtu aliyejiandaa one week before usahili anaweza Kufanya kitu then Lugha mara nyingi ndo huwafelisha watu .Mtihani ukiwa nje mrahisi sana sijui kwanini
Ni kweli unavyosema ukiwa ndani plus unaambiwa 40 minutes.usome swali ulielewe na ujibu Kwa usahihi sio rahisi kama anavyosema ....ungekuwa mtihani wa kujibu masaa 2 kweli haukuwa mgumuMtihani ukiwa nje mrahisi sana sijui kwanini
Mbona maswalo ni ya form tuu haya ππ
maswali huwa si magumu ila mchawi ni muda, hizo 40 minutes kufanya maswali 5 na hii miandiko yetu, kuaga mashindano haina budi πPaper la kawaida Sana kwa Mtu aliyesoma hata certificate ya community development na anajua lugha vizuri hakosi 90/100 tujitahidi kusoma guyz Mimi nimesoma education lakini huo mzigo hapo Juu unaeleweka Sana ningeishi nao Vizuri.
Sema huo Muda dk 40 mnaandika kila swali Mfumo wa essay au short breaf explanations?
Hayakuwa magumu ni kweli issue ni 40 minutes ambazo usome uelewe na uyajibu .....na dakika 40 zenyewe hazikufikaMbona maswalo ni ya form tuu haya ππ
Anyway Shajua nadeal na watu WA Aina gani
Waga hazifiki 40 kijana,ndo maana hawaruhusu kukaa na saa
Mbona liko fair hili, nilidhani aptitude ningesema mna haki ya kulalamika.